Kata ya Makata
|
|
Mh. Mfaume Mpungu
|
|
Diwani Kata ya Makata
|
TAARIFA YA KATA KWA ROBO YA KWANZA JULAI - SEPTEMBA 2017
|
|
Diwani wa Kata ya Makata aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Makata kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba, 2017). Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- Taarifa ya idadi ya watu, taarifa yamapato na matumizi, taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo,taarifa ya maendeleo ya elimu sekondari na msingi, hali ya utawala bora , hali ya amani usalama, mafanikio na changamoto zilizojitokeza. Taarifa ilipokelewa na kupitishwa. |
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. Box 23 Liwale
Simu ya Mezani: +255 (0) 737 187 605
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.