Kata ya Mirui
|
|
|
|
|
---|---|---|---|---|
![]() |
|
|
|
|
Mh. Said Mogeliu
|
|
|
|
|
Diwani Kata ya Mirui
|
|
|
|
|
Diwani wa Kata ya Mirui aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Mirui kipindi cha robo ya kwanza (Julai-Septemba, 2017). Katika kata hiyo Baraza lilipokea:- taarifa ya idadi ya watu, utekelezaji wa miradi ya maendeleo ,taarifa ya maendeleo ya elimu Sekondari na msingi, Ulinzi na Usalama, maendeleo ya kilimo ,mafanikio na changamoto zilizojitokeza.
Taarifa ilipokelewa na kupitishwa |
|
|
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.