Kata ya Mkutano
Diwani wa Kata ya Mkutano aliwasilisha taarifa ya utekelezaji katika Kata ya Mkutano kwa kipindi cha robo ya kwanza (Julai- Septemba, 2017) Katika Kata hiyo Baraza lilipokea:- na ilikuwa na taarifa zifuatazo:-Taarifaya Idadi ya watu, taarifa ya mapato na matumizi, taarifa ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo ya kata, taarifa ya elimu kwa shule za msingi na sekondari, taarifa ya utekelezaji wa kilimo cha mazao na hali ya utawala bora.
Taarifa ilipokelewa na kupitishwa.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.