KILIMO
|
Kichonda
|
Hekta 2,109
|
Limetengwa eneo linalofaa kwa kilimo cha zao la muhogo na uwekezaji mbalimbali wa kilimo cha mazao mbalimbali. Eneo hili limetengwa na Jamii wakati wa kuandaa mpango bora wa matumizi ya ardhi. Kuwekeza katika neo hili kunahitaji makubaliano na jamii.
Vijiji hivi vinalima kwa wingi zao la Ufuta. Uzalishaji kwa mwaka unafikia zaidi ya tani 8,000. Uwekezaji unaohitajika ni kujenga viwanda vya kuchakata Ufuta kuzalisha mafuta na mazao mengine ya Ufuta. Vijiji hivi vinalima zaidi zao la korosho. Uzalishaji kwa mwaka unafikia zaidi Tani 6,000. Uwekezaji unaohitajika ni katika kujenga Viwanda vya kubangua Korosho na kusindika Mabibo kutengeneza pombe na juisi. |
Darajani
|
Hekta 921
|
||
Mihumo
|
Hekta 2357
|
||
Vijiji vya Tarafa ya Kibutuka na Kijiji cha Kimambi.
Vijiji vya Tarafa ya Liwale na Makata. |
Eneo halijapimwa (kuna mashamba ya Ufuta) Eneo halijapimwa (kuna mashamba ya Mikorosho) |
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.