Tuesday 3rd, December 2024
@
MHE. MKUU WA MKOA WA LINDI MAMA ZAINABU TERAKI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MAKATA ALIPOFIKA AKIFUATANA NA MKURUGENZI WA VETA KANDA YA KUSINI KUONA ENEO NA VYUMBA VYA MADARASA WANAVYOTAKA KUIKABIDHI VETA KUANZISHA CHUO CHA UFUNDI STADI. ENEO HILO LINA JUMLA YA EKARI 50 AMBAZO ZIMETENGWA KWA AJILI YA KUJENGA MIUNDOMBINU YA CHUO HICHO.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.