ILI KUTOA MAONI/MAPENDEKEZO YA UBORESHAJI WA HUDUMA ZINAZOTOLEWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE
Wananchi/wadau wote ambao wanapokea huduma kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Liwale wanaweza kutoa maoni/mapendekezo ya kuboresha huduma/kero au malalamiko yanayohusiana na huduma hizo kupitia sanduku la maoni (Ofisi ya Mwanasheria) au kupitisha malalamiko hayo kuanzia ngazi ya Kata hadi ofisi za ya Mkurugenzi wa Wilaya ya Liwale.
Kero/maoni au mapendekezo hayo yanaweza kuwasilishwa popote pale ndani na nje ya nchi kwa kutumia huduma ya intaneti kwa kupitia tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale kwa kubonyeza sehemu iliyoandikwa Malalamiko.
Pia kupitia tovuti kuu ya serikali ya malalamiko iyoandikwae-mrejesho
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.